Maamuzi makuu yanatoa ushindi mkuu kwa jamii asilia ya wa Endorois (Swahili)
18 January 2011
Na Lucy Claridge
Kituo cha Maendeleo ya Haki za Jamii Ndogo & Kikundi cha Haki za Jamii Ndogo Kimataifa (Centre for Minority Rights Development & Minority Rights Group International - MRG) kwa niaba ya Jamii ya wa Endorois dhidi ya Serikali ya Kenya.
